Become A Donor

Become A Donor
Lorem Ipsum is simply dummy text of the printing and typesetting industry.

Contact Info

684 West College St. Sun City, United States America, 064781.

(+55) 654 - 545 - 1235

info@zegen.com

Mahakama ya Kanisa

Mahakama ya Kanisa

Kufuatana na utartibu wa Kanoni sharia (kanoni 1404 – 1445), kila Jimbo linapaswa kuwa na Mahakama yake. Mahakama hizi zipo kwa ajili ya kutoa haki kwa mwamini yeyote ambaye atakuwa hajatendewa haki kwa namna moja au nyingine. Katika kila Jimbo Askofu Jimbo ndiye Hakimu wa ngazi ya mwanzo kwa kesi zote. Lakini pia Askofu Jimbo anaweza kumteua Vikari hakimu (Judicial Vicar) au maofisa wengine (Officialts) kwa ajili ya mchakato wa Kimahakama.

Kwa Jimbo letu Mahakama hii inasimamiwa na Askofu Mkuu akisaidiwa na Maofisa wengine ambao ni Mapadre Ludovick Frimi na Walter Joachim Selengia.Hata hivyo Padre anayesimamia Mahakama hii kwa sasa ni Padre Ludovick Frimi.