Trending

JUBILEI YA FEDHA YA UTUME JIMBONI

Wafanyakazi katika Ofisi Kuu na Waamini wa Jimbo Kuu Katoliki Arusha kwa ujumla tunawatakia kheri ya sikukuu ya Jubilei ya Fedha ya utume wetu Jimboni baba Askofu Msaidizi Prosper B. Lyimo, Padre Honoratus Achimpota pamoja na Padre Venance A. Kway. Mungu awalinde na kuwaongoza katika Shamba la Kondoo wake . (08/08/2022)

UJUMBE WA PENTEKOSTE MWAKA 2019 NA MPANGO MKAKATI WA MIAKA MITANO 2019-2023

Mpango Mkakati wa Miaka Mitano 2019 – 2023 Jimbo Kuu Katoliki Arusha Jimbo kuu la Arusha limeanzisha mpango mkakati wa miaka mitano: 2019-2023: Dira: “Familia ya Mungu inayoishi kadiri ya Injili ya Kristo”. Malengo Saba: 1. Kuimarisha Imani Katoliki 2. Kuimarisha Maadiii ya Kikristo 3. Uelewa wa Sheria 4. Kuboresha Uchumi, Elimu na Afya 5. …

UJUMBE WA PENTEKOSTE MWAKA 2019 NA MPANGO MKAKATI WA MIAKA MITANO 2019-2023 Read More »