Become A Donor

Become A Donor
Lorem Ipsum is simply dummy text of the printing and typesetting industry.

Contact Info

684 West College St. Sun City, United States America, 064781.

(+55) 654 - 545 - 1235

info@zegen.com

SIKU YA MTAKATIFU THOMAS WA AQUINAS NA MAHAFALI YA WANAFUNZI WA KIDATO CHA NNE

SIKU YA MTAKATIFU THOMAS WA AQUINAS NA MAHAFALI YA WANAFUNZI WA KIDATO CHA NNE

Maelezo ya tukio

Jimbo Kuu Katoliki Arusha linapenda kuwajulisha waumini na wadau wote wa elimu kuwa siku ya Mtakatifu Thomas wa Aquinas, mlinzi wa wasomi na wanateolojia, itaadhimishwa sambamba na mahafali ya wanafunzi wa kidato cha nne katika Seminari ya Mtakatifu Thomas wa Aquinas, Arusha. Tukio hili litafanyika tarehe (28/01/2025), katika viwanja vya seminari na litapambwa na: Ibada ya Misa Takatifu: Itakayoongozwa na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki Arusha. Mahafali Rasmi: Wahitimu wa kidato cha nne watapokea vyeti vyao pamoja na baraka za Kanisa. Karibuni nyote kwa wingi!.

(Imeandaliwa na Ofisi ya Mawasiliano, Jimbo Kuu Katoliki Arusha)

Event Details

Organizer : St. Thomas Aquinas Seminary - Oldonyosambu Jimbo Kuu Katoliki Arusha

Start Date : Jan 28

End Date : Jan 28

Time : 10:00 am

Cost : Free

Event Venue

Venue : St. Thomas Aquinas Seminary - Oldonyosambu

Address : 3044 Arusha

E-mail : carchd@arusha-archdiocese.or.tz

Phone : 0743066786

Website : https://arusha-archdiocese.or.tz/

Event Registration