JUBILEI YA FEDHA YA UTUME JIMBONI

Wafanyakazi katika Ofisi Kuu na Waamini wa Jimbo Kuu Katoliki Arusha kwa ujumla tunawatakia kheri ya sikukuu ya Jubilei ya Fedha ya utume wetu Jimboni baba Askofu Msaidizi Prosper B. Lyimo, Padre Honoratus Achimpota pamoja na Padre Venance A. Kway.

Mungu awalinde na kuwaongoza katika Shamba la Kondoo wake . (08/08/2022)

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *