PICHA ZA MATUKIO YA KILELE CHA JUBILEI YA MIAKA 50 YA UTUME WA WAWATA-JIMBO KUU KATOLIKI ARUSHA

Misa imeongozwa na Mhashamu Askofu Mkuu Baba Isaac Amani katika Parokia ya Mt. Mikaeli Mkuu Kijungu-Masai Kusini 28/08/2022. 

1 thought on “PICHA ZA MATUKIO YA KILELE CHA JUBILEI YA MIAKA 50 YA UTUME WA WAWATA-JIMBO KUU KATOLIKI ARUSHA”

  1. Fr.Ludovick ( Majaliwa)

    Hongereni WAWATA KWA KILELE CHA JUBILEI YA MIAKA HAMSINI YA UTUME WENU TANGU KUANZISHWA 1972-2022.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *