Become A Donor

Become A Donor
Lorem Ipsum is simply dummy text of the printing and typesetting industry.

Contact Info

684 West College St. Sun City, United States America, 064781.

(+55) 654 - 545 - 1235

info@zegen.com

MECHI YA AMANI NA MSHIKAMANO

Maelezo ya tukio

Katika kuadhimisha Yubilei ya Miaka 50 ya Upadri wa Baba Askofu Mkuu Isaac Amani, tukio maalum la Mechi ya Amani na Mshikamano litafanyika kati ya Mapadri wa Kanisa Katoliki na Wachungaji kutoka madhehebu mbalimbali.

Mechi hii ya kipekee inalenga kuimarisha Umoja, Upendo, na Mshikamano wa Kidini, ikiwa ni njia ya kuonesha mshikamano wa kweli kati ya viongozi wa kiroho katika jamii.

Tarehe: Jumamosi, 06 Julai 2025
Saa: 9 Alasiri
Mahali: Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Arusha

Hii ni zaidi ya mchezo wa mpira — ni alama ya Amani, Umoja na Shukrani kwa miaka 50 ya huduma ya kiroho ya Baba Askofu Mkuu Isaac Amani.

Tunakukaribisha wewe na familia yako kushuhudia tukio hili la kihistoria. Uwepo wako utaleta maana zaidi katika kusherehekea safari hii ya neema na utumishi wa Mungu.

Event Details

Organizer : Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Arusha

Start Date : Jul 6

End Date : Jul 6

Time : 03.00 pm

Cost : Free

Event Venue

Venue : Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Arusha

E-mail : carchd@arusha-archdiocese.or.tz

Phone : 0743066786

Website : https://arusha-archdiocese.or.tz/

Event Registration