KelvinMisa Takatifu November 20, 2022 MISA TAKATIFU YA VIJANA DUNIANI ILIYOFANYIKA 20/11/2022Ibada ambayo pia ni sikukuu ya Yesu Kristo Mfalme. Misa imeongozwa na Mhashamu Baba Askofu Mkuu Isaac Amani katika Parokia ya Moyo Mtakatifu wa Yesu – Sombetini